BLUE PALACE INAWALETEA MITINDO MIPYA YA NYWELE
HIZI NI KUCHA ZIMEPIGWA RANGI YA JELLY INAKAA KWA MUDA ZAIDI YA MWEZI IKIWA NA MNGARO WAKE
HIZI NI KUCHA ZA KUBANDIKA NI ZA KISASA PIA ZIPO AINA TOFAUTI AINA ZOTE
HII NI TATOO TUNACHORA WENYEWE ZA AINA ZOTE HAPA BLUE PALACE
HII NI TATOO INACHORWA NA MMOJA WA WAFANYAKAZI WA BLUE PALACE
HIZI NI KUCHA NA RANGI MARIDADI NA ZA KISASA NA HUDUMU KWA MUDA MREFU
HIZI NI KUCHA ZIKIWA KATIKA AINA TOFAUTI ZA UBANDIKAJI
HIZI NI BIDHAA ZIKIWA ZIMEPANGWA KATIKA MMOJA WAPO YA SHELFU ZA KISASA NDANI YA BLUE PALACE
HII NI MAADHARI YA NDANI YA BLUE PALACE IKI ONYESHA BAADHI YA AINA ZA KUCHA
HIZI NI AINA TOFAUTI ZA KUCHA ZA KISASA ZIKIWA KWENYE RANGI TOFAUTI
HIZI NI AINA TOFAUTI ZA KUCHA ZA KISASA
HUYU NI MTEJA AKIWA TAYARI BAADA YA KUMALIZA KUCHORWA TATOO NA MMOJA WA WAFANYAKAZI WA BLUE PALACE
TUNAZO RANGI AINA ZOTE NA ZA KISASA
HIZI NI KUCHA ZA JELLY
KUCHA ZA KISASA ZA KUBANDIKA
No comments:
Post a Comment