HICHI NI CHUMBA CHENYE VITANDA VYA KISASA KWA AJILI YA FACIAL,TATOO NA MASSAGE NDANI YA BLUE PALACE
HII NI BEAUTY MASHINE KWA AJILI YA MASSAGE,KUTOA MADOA,NA KUSIMAMISHA MATITI
HII NI MASHINE YAA BEAUT IKIWA TAYARI KWA MATUMIZI KWA MTEJA KUSIMAMISHA MATITI
HIVI NI VIFAA VYA MASHINE YA BEAUT KWA AJILI YA MASSAGE
NI VITENDEA KAZI KWA AJILI YA KUSIMAMISHA MATITI
HIII NI MASHINE YA BEAUT NA VITANDA KWA AJILI YA MASSAGE,FACIAL,NA KUONDOA MADOA NDANI YA BLUE PALACE YA KISASA.
No comments:
Post a Comment